Dickson ni mkulima wa nyanya,
Mahitaji ya nyanya sokoni ni Kila siku, hivyo mkulima ni muhimu awe anazalisha nyanya muda wote.
kijana huyu alipata vifaa ya umwagiliaji kwa matone kutoka FAO ambayo vimemsaidia kuendelea na uzalishaji hata kipindi cha kiangazi.Pia,benki ya maendeleo ya kilimo Tanzania(TADB) imemsaidia katika kufikia malengo yake..

Leave a Reply